FAIDA YA VITUNGUU SAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU.

VITUNGUU SAUMU KAMA DAWA KWA KUKU

VITUNGUU SAUMU
KITUNGUU SAUMU

 


Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo "Fowl Typhoid" ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.

Kwa utaalam wa kilimo hiki tuchek kwa +255757808824 ama saringo50@gmail.com
KARBU NORTAN

No comments

Powered by Blogger.